Mama yangu ni poa

Mama yangu ni poa

RM 33.41

ISBN:

9781525987762

Categories:

Teen Novel

File Size

2.86 MB

Format

epub

Language

swa

Release Year

2024
Favorite (0)

Synopsis

Katika hadith hii ya kusisimua ya wakati wa kulala, msichana mdogo anamzungumzia mama yake kwa nini ni mzuri.Tunamwona akipitia siku yake akiwa amebeba hisia mwanana kuhusu mama yake.
Mama mara zote anajua jinsi anavyohisi na anaweza kumsaidia katika kila tatizo. Mama anaweza kusuka mitindo migumu na anaeleza kuhusu sehemu; Mama anaweza kumsaidia kuamka nasubuhi na kumkumbatia akiwa hana furaha.
Kwa mifano vielelezo na ujumbe kwa kila atakayehusianisha ,hiki ni kitabu sahihi kwa watoto na mama zao